Song Of | Muu Flow Ft Kusah – Sielewi | Download
Muu Flow Young and talented Muu Flow, a performer, writer, and artist, released a new song titled Sielewi with Kusah.
Song Of | Muu Flow Ft Kusah – Sielewi | Download
Lyrics
Sielewi ft Kusah - Muu Flow:
Kusah Tena
Naona nimefoli nimefall nimefall in love
Mimi mwenzenu
Nimefoli nimefall nimefall in love
Aaaaah weee umenipa nini,
Maana sielewi mi
Kila nikikaa inanijia inanifanya tabasaamu,
Vitaamu ni vingi , ila sielewi mi
Kila nikikaa inanijia inanifanya tabasaamu....
Nime sacrifice moyo, roho mpaka Figo
Boo ukiniacha ujuwe iyo ni pigo,
Wewe ndo umeniondolea mzigo,
More love, less igoo
Unajuwa kukupenda ndo kitu natakaa...
The way you wein your body, si uko na talanta,
Wanibebe machele siku wewe ukiniacha
Si unajuwa wewe mnyamwezi sa ivi ishajikataa,
Busy kama wee ni adimuu ukiongezea ndimu
Minyama nyama flani unanipandishanga stimu,
So siutawekwa kwenye simu body flani ya gym.
Natural color skin no cream
Si unanipaa raaha unavyo lala kifuani
Prince melody nakupa burudani
Hata waseme nii si hatuachani
Penzi letu tuna paa paa angani
Aaaaah weee
Umenipa nini maana sielewi mi
Kila nikikaa inanijia inanifanya tabasaamu
Vitaamu ni vingi ila sielewi mi
Kila nikikaa inanijia inanifanya tabasaamu
Ingekuwa chungu basi ungesema kwa nini
Nakunipenda mimi ati wanauliza kwa nini
Kwa moyo siti ya mbele imekaa mimi
Ili tuwe sawa Dangote atapiga chini
Naji chimbia migodi , maama ilo body
Life tight ila sishindwi kulipa Kodi
Kama ni vita mi sisiye wewe ndo nodi
Ooooh my goddy makopa kopa ya emoji
Si unanipaa raaha unavyo lala kifuani
Prince melody nakupa burudani
Hata waseme nii si hatuachani
Kwa penzi letu tuna paa paa angani
Aaaaah weee
Umenipa nini maana sielewi mi
Kila nikikaa inanijia inanifanya tabasaamu
Vitaamu ni vingi ila sielewi mi
Kila nikikaa inanijia inanifanya tabasaamu
Beats
ooooh mmmh.
0 Comments